Mega
Baada ya kuangalia mkanda wa video wenye sinema ya kiutu uzima au kwa lugha ya kigeni 'X-rated', wasichana watatu pale mjini New Delhi walifurahishwa sana na miondoko waliyoona kwenye mkanda huo na kushindwa kuvumilia. Wakaamua kumualika kijana mmoja mwenye umri wa miaka 14 awasaidie kutenda yale waliyoona. Uroda ukageuka uchungu baada ya ya msichana mmoja kumega 'kofia' ya kijana huyo. Madaktari walishindwa kuunganisha 'kofia' yake. Wasichana wametoweka na hawajulikani walipo.